sw_tn/gen/12/14.md

24 lines
748 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikawa kwamba
Maana zaweza kuwa 1) Msemo huu unatumika hapa kuweka alama ya wapi tukio linaanza, na kama lugha yako ina namna ya kufanya hivi basi tumia njia hiyo, au 2) "Na hivyo ndivyo kilichotokea"
# Wakuu wa Farao wakamuona
"Wakuu wa Farao walimwona Sarai" au "wakuu wa Farao walimwona"
# mwanamke akachukuliwa kupelekwa nyumbani mwa Farao
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Farao akamchukua mpaka nyumbani kwake" au "Farao aliwaamuru askari wake kumpeleka nyumbani kwake"
# mwanamke
Sarai
# nyumbani mwa Farao
Maana zaweza kuwa 1)"Familia ya Farao", yaani kama mke au 2) "Nyumba ya Farao" au "Hekalu la Farao" ni tasifida ya Farao kumfanya awe mmoja wa wake zake.
# kwa ajili yake
"kwa ajili ya Sarai" au "kwa sababu yake"