sw_tn/gen/11/03.md

28 lines
547 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# haya njooni
"haya njooni"
# tuyachome kikamilifu
Watu hutengeneza matofali kwa udongo na kuyachoma ndani ya joko la moto sana ili yawe magumu na imara.
# lami
kimiminiko kinene, kinachonata, cheusi kinachotoka ardhini.
# chokaa
hiki ni kiini kinene kinachoundwa kwa unga wa ndimu, udongo, mchanga, na maji inayotumika kufanya mawe au matofali kugandamana.
# tujifanyie jina
"tujifanyie sifa yetu kuwa kubwa"
# jina
"sifa"
# tutatawanyika
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "tutajigawanya baina yetu na kuishi sehemu tofauti"