sw_tn/gen/10/11.md

12 lines
232 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# alikwenda Ashuru
Nimrodi alikwenda Ashuru
# Misraimu akawa
orodha ya vizazi vya Nuhu inaendelea.
# Misraimu
Misraimu alikuwa mmoja wa wana wa Hamu. Vizazi vyake vikawa watu wa Misri. Misraimu ni jina la Kihebrania la Misri.