sw_tn/gen/09/16.md

20 lines
527 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Mungu anaendelea kuzungumza na Nuhu na wanawe.
# ili kukumbuka
"ili kwamba nikumbuke" au "ili kwamba nitafikiria juu ya"
# kati ya Mungu na kila kiumbe
Mungu anazungumza hapa. "kati yangu na kila kiumbe hai"
# kila kiumbe hai cha wote wenye mwili
"kila aina ya kiumbe hai"
# Kisha Mungu akamwambia Nuhu
Mungu alikuwa tayari anazungumza na Nuhu. Msemo huu unaweka alama ya sehemu ya mwisho ya kile Mngu alichokuwa akisema. "Mungu alimalizia kwa kusema kwa Nuhu" au "Kwa hiyo Mungu akasema kwa Nuhu"