sw_tn/gen/09/08.md

12 lines
566 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kisha Mungu akazungumza na Nuhu na wanae pamoja naye
Mungu alikuwa akizungumza nao tayari. Msemo huu unaweka alama ya mabadiliko juu ya kile Mungu alichokuwa akienda kukizungumzia. "Mungu aliendelea kuzungumza na Nuhu pamoja na watoto wake" au "Kisha Mungu akaendelea kusema"
# Kwa ajili yangu
Msemo huu unatumika kwa Kiingereza kuweka alama ya mabadiliko juu ya kile Mungu alichokuwa akizungumzia juu ya Nuhu na wanawe walichopaswa kufanya na kuzungumzia juu ya nini Mungu angefanya.
# kulithibitisha agano langu pamoja nawe
"fanya agano kati yako na mimi"