sw_tn/gen/08/10.md

20 lines
368 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tazama
"Sikiliza kwa makini" au "Hii ni muhimu"
# jani bichi la mzeituni lililochumwa
"jani ambalo njiwa alichuma kutoka katika mzeituni"
# lililochumwa
"kunyofoa"
# Akasubiri siku saba zingine
"Alisubiri tena siku saba"
# Njiwa hakurudi kwake tena
Iwapo watu hawataelewa unaweza kutoa sababu wazi: "Hakurudi tena kwake kwa sababu alipata sehemu ya kutua".