sw_tn/gen/06/07.md

20 lines
785 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nitamfutilia mbali mwanadamu ... katika uso wa nchi
Mwandishi anamzungumzia Mungu kuua watu kana kwamba Mungu alikuwa akisafisha uchafu katika nchi tambarare. "Nitawaangamiza wanadamu ..ili kwamba kusiwepo na watu katika nchi"
# Nitamfutilia mbali mwanadamu ambaye nimemuumba
Baadhi ya lugha hutafsiri hii kama sentensi mbili. "Niliumba mwanadamu. Nitamfutilia mbali"
# Nitamfutilia
"kuangamiza kabisa". Hapa "kuangamiza" inatumika katika hali ya hasi, kwa maana Mungu anazungumzia juu ya kuangamiza watu kwa sababu ya dhambi yake.
# Nuhu akapata neema ya upendeleo machoni pa Yahwe
"Yahwe alimtazama Nuhu kwa upendeleo" au "Yahwe alifurahishwa na Nuhu"
# machoni pa Yahwe
Hapa "machoni" inamaana ya mtazamo au mawazo. "katika mtazamo wa Yahwe" au " katika mawazo ya Yahwe"