sw_tn/gen/04/08.md

20 lines
658 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kaini akamwambia Habili ndugu yake
Baadhi ya lugha zinahitaji kuongeza taarifa inayojitokeza ya kwamba Kaini alizungumza na ndugu yake kuhusu kwenda mashambani.
# ndugu
Habili alikuwa ndugu yake Kaini. Baadhi ya lugha zinaweza kutumia neno kwa ajili ya "ndugu mdogo"
# aliinuka dhidi
"alimshambulia"
# Ndugu yako Habili yuko wapi?
Mungu alijua ya kwamba Kaini alimuua Habili, lakini alimuuliza Kaini swali hili ili Kaini aweze kujibu.
# Je mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?
Kaini alitumia swali hili la balaghaili kukwepa kusema ukweli. Hii yaweza kutafsiriwa katika msemo. "Mimi sio mlinzi wa ndugu yangu!" au "Kumtunza ndugu yangu sio kazi yangu!"