sw_tn/gen/03/17.md

48 lines
1.6 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Adamu
Jina Adamu ni sawa na jina la Kiebrania kwa ajili ya neno "mwanamume". Baadhi ya tafsiri husema "Adamu" na baadhi husema "mwanamume". Unaweza kusema yoyote kati yao maana hulenga mtu mmoja.
# umesikiliza sauti ya mke wako
Hii ni lahaja. "umetii kile mkeo kakuambia"
# umekula kutoka katika mti
Unaweza kusema ni nini kile walichokula. "wamekula tunda la mti" au "wamekula sehemu ya matunda ya mti"
# usile matunda yake
"Hutakiwi kula kutoka kwake" au "Usile matunda yake"
# ardhi imelaaniwa
Neno "laana" hujitokeza kwenye sentensi kuweka msisitizo ya kwamba ardhi, ambayo ilikuwa "nzuri" imekuwa chini ya laana ya Mungu sasa. Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Ninalaani ardhi"
# kupitia kazi yenye maumivu
"kwa kufanya kazi ngumu"
# utakula
Neno "utakula" linamaanisha ardhi ambayo ni ufafanuzi wa sehemu ya mimea, ambayo huota ardhini na watu hula. "utakula kile kiotacho kutoka kwake"
# mimea ya shambani
Maana yaweza kuwa 1) "mimea unayoitunza shambani mwako" au 2) "mimea ya mwitu inayoota katika mashamba yako"
# Kwa jasho la uso wako
"Kwa kufanya kazi ngumu na kufanya uso kutoka jasho"
# utakula mkate
Hapa neno "mkate" ni kiwakilishi kwa chakula kwa ujumla. "utakula chakula"
# mpaka utakapo irudia ardhi
"hadi utakapokufa na mwili wako unawekwa ndani ya ardhi." Kwa baadhi ya tamaduni, waliweka miili ya watu waliokufa kwenye shimo ardhini. Kazi ya mwanamume haikamiliki hadi kipindi cha kifo na kuzikwa kwake.
# kwa kuwa wewe ni mavumbi na kwenye mavumbi utarudi
Nimekufanya kutoka kwenye udongo, kwa hiyo mwili wako utakuwa udongo tena".