sw_tn/gen/02/18.md

16 lines
468 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nitamfanyia msaidizi anaye mfaa
"nitafanya msaidizi ambaye ni sahihi kwa ajili yake"
# kila mnyama wa kondeni na kila ndege wa angani
Misemo ya "wa kondeni" na "wa angani" inatuambia mahali ambapo wanyama na ndege hupatikana mara kwa mara. "kila aina ya wanyama na ndege"
# wanyama wote
"wanyama wote ambao watu huwachunga"
# hapakuwa na msaidizi wa kumfaa yeye
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "hapakuwa na msaidizi aliyekuwa sahihi kwa ajili yake"