sw_tn/ezr/07/21.md

40 lines
1.6 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya kuhusisha
Hii inaendelea na agizo ambalo mfalme Artashasta alimpa Ezra
# mji ngambo ya mto
Hili ni jina la mji ambao ulikuwa magharibi mwa mto Efrati. Ilikuwa ni kuvuka mto kutoka mji wa Susa. Angalia ulivyotafsiri katika 4:9
# Chochote ambacho Ezra ataomba kwenu anapaswa kupewa chote
Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. "Mpeni Ezra chote anacjooomba kwenu"
# anapaswa kupewa chote
Msemo "chote" hapa inamaanisha vyovyote muhimu vya kufanyia kazi. AT:"anapaswa kupewa vingi kadri anavyohitaji"
# talanta mia moja za fedha
"talanta 100 za fedha" Unaweza kuthamanisha hii kwa kiwango cha sasa. AT:"3,400 talanta za fedha" au "tani tatu na nusu"
# vipimo miavya ngano
Unaweza kuthamnisha katika kipimo cha sasa. 22,000 lita za ngano" au "ishirini na mbili elfu lita za ngano"
# bathi mia za mafuta
Unaweza kuzibadilisha katika kipimo cha sasa. AT:"22,000 lita za mafuta" au "lita elfu mbili za mafuta"
# nyumba yake
Hii inamaanisha hekalu la Mungu
# Kwa nini hasira yake ije kwenye ufalme wangu na watoto wangu?
Mfalme anatumia swali hili kusema kwamba hataki hasira ya mungu ifike kwao. Hii inaonyesha kwamba wasipompa ezra kile ambacho ametaka, ndipo Mungu ataupiga ufalme. AT:"Kwa kuwa hatutaki hasira ya Mungu ije kwetu katika ufalme wangu na watoto" au "kwa kuwa usipofanya vitu hivi , hasira ya Mungu itakuja juu ya ufalme wako na watoto wako"
# Kwa nini hasira yake ije ufalme wangu na watoto wangu
Hasira ya Mungu inamaanisha Mungu kuwaadhibu wao.AT:"Kwa nini Mungu kuadhibu ufalme wangu na watoto" au :Kwa kuwa usipofanya vitu hivi, Mungu ataadhibu ufalme wangu na watoto"