sw_tn/ezr/03/10.md

16 lines
466 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kuweka msingi
"msingi" kwa mantiki hiyo ilikuwa zaidi si matofali ya mawe kwa ajili ya kusaidia ukuta wa hekalu. Ilijumuisha sakafu yote ya hekalu iliwekewa mawe. Hii iliwawezesha wanaosifu hekaluni kuvaa mavazi lasmi na yaliwaweka kuwasafi.
# nguo zao
"mavazi yao maaalum"
# mkono wa Daudi... uliagiza
Mkono wa mfalme ni picha ya kumpa nguvu kutoa amri. AT:"kama Daudi alivyoagiza"
# Shukrani
Hisia na kujisikia kupongeza kwa ajili ya ukarimu wa mwingine.