sw_tn/ezk/44/30.md

20 lines
620 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli kuhusu uzao wa Zadoki ambaye hutumika kama makuhani.
# malimbuko
Hapa "malimbuko" huenda inamaanisha kwamba vitu bora miongoni mwa sadaka zote zilizowekwa karibu kumtolea Mungu.
# na kila kitu kitokanacho na sadaka
"na kila zawadi ya kitu chochote kutoka zawadi zako zote"
# ili kwamba baraka iweze kukaa katika nyumba zenu
Hili neno linamaanisha "hivyo nitabariki familia yako na kila kitu ambacho ni mali yako."
# au mnyama aliyeraruliwa, iwe ni ndege au mnyama
"au kiumbe ambaye ni ndege au mnyama wa porini amerarua."