sw_tn/ezk/44/01.md

20 lines
299 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# iliyoelekea mashariki
Tazama jinsi ilivyotafsiriwa katika sura 40:5.
# haitafunguliwa
"hakuna mtu atakaye ufungua"
# Mungu wa Israeli
Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 8:3.
# varanda
Tazama tafsiri yake katika 8:16.
# mbele ya Yahwe
"mbele ya Yahwe" au "katika uwepo wa Yahwe"