sw_tn/ezk/38/21.md

20 lines
392 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa gogu.
# natafurika mvua, na mvua ya mawe ya moto. Nitaleta mvua ya kiberiti
"na nitanyeshea nchi mafuriko ya mvua, mvua ya mawe na kuchoma salfa"
# mvua ya mawe
barafu ambayo huanguka chini kutoka angani
# kiberiti
"salfa"
# nitaonyesha ukuu wangu na utakatifu wangu
"onyesha kwamba mimi ni mkubwa na mtakatifu"