sw_tn/ezk/23/38.md

16 lines
541 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe ananena na Ezekieli kuhusu Ohola na Oholiba.
# na katika siku hiyo hiyo wakainajisi Sabato zangu
Neno "siku hiyo hiyo" linarejea kwa neno lililopita "fanya patakatifu pangu najisi." "na juu ya siku hiyo hiyo wamepafanya patakatifu pangu najisi, wamezinajisi Sabato zangu"
# wakaja hata patakatifu pangu siku hiyo hiyo kupanajisi
"wakaja kupanajisi patakatifu pangu siku hiyo hiyo wakiwachinja watoto wao kwa ajili ya miungu yao"
# tazama!
Neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kifuatacho. "hasa!"