sw_tn/ezk/23/26.md

8 lines
433 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hutayainuja macho yako
Hii ni njia ya kumrejea mtu kugeuza kichwa chao kutazama kitu. "Hutaona"
# hutaikumbuka Misri tena
Hili nenao "fikiria Misri" linarejea kwa matendo ya kikahaba aliyojifunza katika Misri. Hatawafikiria tena kwa sababu amejifunza hawatampatia vitu vizuri ambavyo Wamisri, na Waashuru walivyonavyo. Badala yake, matendo ya kikahaba vimemsababisha yeye kuadhibiwa na hatataka kufikiria kuhusu kuwafanya tena.