forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
501 B
Markdown
12 lines
501 B
Markdown
|
# Neno la Yehova likanijia
|
||
|
|
||
|
"Yehova alizungumza neno lake." Angalia namna ulivyotafsiri katika 1:1
|
||
|
|
||
|
# Mnamaanisha nini, ninyi mnaotumia mithali hii...'wababa wanakula zabibu chachu, na meno ya watoto yametiwa ganzi'
|
||
|
|
||
|
God anawaonya watu kwa kufikiri kuwa wanaadhibiwa kwa dhambi za wazazi wao, lakini wakiamini kuwa wao wenyewe hawana dhambi
|
||
|
|
||
|
# Wababa wanakula zabibu chachu, na meno ya watoto yametiwa ganzi
|
||
|
|
||
|
Mithali hii ina maana kuwa watoto wanaadhuibiwa kwa sababu ya matendo maovu ya wazazi wao.
|