sw_tn/ezk/12/19.md

12 lines
411 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Watakula mikate yao kwa kutetemeka na kunywa maji yao wakiwa wanatetemeka
Haya maneno mawili yana maana moja na kusisitiza kwamba watu wataogopa sana, hata wakati wa kufanya mambo ya msingi kama kula na kunywa.
# miji iliyokuwa wenyeji itahuzunishwa
"huzuni" inaeleza mahali ambapo hakuna mtu anayeishi. "watu katika miji wataondoka au kufa"
# mtajua kwamba mimi ni Yahwe
Tazama tafsiri yake katika 6:6.