sw_tn/ezk/10/12.md

20 lines
476 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mwili wao wote
"Miili yote ya kerubi"
# magurudumu
Tazama jinsi ilivyotafsiriwa katika 1:15.
# magurudumu yalikuwa yakiitwa "kuzunguka."
Neno "kuzunguka." Hapa ni neno la magurudumu. "mtu mmoja aliitwa magurudumu, "kuzunguka'"
# Walikuwa na sura nne kila mmoja
"Kila kerubi alikuwa na sura nne" "Kila kiumbe kilikuwa na sura mbele, sura upande wa nyuma, na sura kila upande wa kichwa chake, na sura katika kila upande wa kichwa.
# Kerubi
mnyama mwenye mabawa manne