sw_tn/ezk/08/17.md

32 lines
810 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Je ni kitu kidigo kwa ajili ya nyumba ya Yuda kufanya haya machukizo wanayoyafanya hapa
Mungu anatumia hili swali kuonyesha hasira yake ambayo watu wa Yuda hawafikirii kwamba kuabudu sanamu ni kitu kibaya sana.
# nyumba ya Yuda
Neno "nyumba" ni mfano kwa ajili ya familia iishiyo katika nyumba, katika kesi hii uzao wa Yuda zaidi ya miaka mingi.
# wameijaza nchi kwa udhalimu
"nchi yote wanafanya mambo ya udhalimu au "nchi yote wanashambuliana kila mmoja"
# kunichochea hasira
"kunikasirisha"
# kuweka tawi kwenye pua zao
Hii inaweza kumaanisha "kushikilia matawi kwenye pua zao katika ibaada ya uongo."
# sitaacha kuwaharibu
"bado nitawaadhibu."
# hata watalia kwenye masikio yangu kwa sauti kubwa
"Hata watapiga yowe kwangu kwenye maombi yao kwa sauti kubwa"
# sitawasikia
"sitawasikiliza"