sw_tn/ezk/07/12.md

28 lines
783 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Israeli.
# Wakati unakuja; siku imekaribia
Yote "mda" na "siku" zinarejelea kwenye muda wakati Mungu atakapo waadhibu watu wa Israeli. "adhabu ya Israeli itakuwa hivi punde sana"
# maono yako juu yako kikundi kizima
"kile Mungu alichoonyesha kitatokea kwenye kundi"
# kundi
kundi la watu wengi sana. Hapa inarelea kwa watu wa Israeli.
# kadiri wanapoendelea kuishi
Neno "wao" linarejelea kwa watu wa Israeli wauzao vitu.
# Hatarudi
"hawatarudi Israeli."
# hakuna mtu anayeishi kwenye dhambi atakayejitia uwezo
Neno "uwezo" linamrejea msaada wa Mungu anamsaidia mtu kuendelea kwenda wakati mambo ni magumu kupitia tumaini, faraja na nguvu ya mwili. "hakuna aliye hai anayeendelea kumuasi Mungu atakayesaidiwa na Mungu."