sw_tn/ezk/04/06.md

32 lines
884 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Roho anaendelea kunena na Ezekieli.
# siku hizi
siku Ezekieli alipolala chini upande wake wa kushoto kuelezea ngome ya ufalme wa Israeli
# utachukua uovu
"utakuwa na hatia ya uovu" au "utaadhibiwa kwa ajili ya uovu wao."
# Nyumba ya Yuda
Neno "nyumba" ni mfano wa familia iishiyo katika nyumba, katika kesi hii uzao wa Yuda zaidi ya miaka mingi. "kundi la watu wa Yuda" au "watu wa Yuda"
# Nakuteua siku moja kwa kila mwaka
"Nitakufanya kufanya kufanya siku moja kwa kila mwaka ambao nitakughadhibu."
# tabiri juu yake
"tabiri kuhusu mambo mabaya yatakayotokea kwa Yerusalemu"
# tazama!
"ona!" au "sikiliza!" "kuwa makini kwa kile ninachotaka kukwambia!"
# Naweka vifungu juu yako
Vifungo ni kamba au minyororo inayomfanye mtu asitembee. Haiko wazi kama neno "vifungo" ni mfano kwa jambo Yahwe analolifanya ambalo ni kama alikuwa amemfunga Ezekieli