sw_tn/ezk/01/01.md

48 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Katika mwaka wa kumi na tatu
Huu ni mwaka wa kumi na tatu ya uhai ya Ezekieli.
# mwezi wa nne, na siku ya siku ya tano ya mwezi
"siku ya tano ya mwezi wa tano." Huu ni mwezi wa nne wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya tano inakaribia mwishoni mwa mwezi wa sita kwenye kalenda za Magharibi.
# Ikawa kwamba
Hili neno limetumika hapa kuonyesha tukio muhimu katika hadithi.
# Nilikuwa nikiishi miongoni mwa mateka
Neno "Mimi" inamrejelea Ezekieli. "Nilikuwa miongoni mwa mateka"
# Nikaona maono ya Mungu
"Mungu alinionyesha mambo yasiyo ya kawaida"
# ilikuwa mwaka wa tano wa uhamisho wa Mfalme Yehoyakini
Kupitia hiki kitabu, Ezekieli ataandika tarehe juu ya lini Wababeli waliwalazimisha Yehoyakini kuondoka Yerusalemu.
# kwa Ezekieli ... juu yake huko
Ezekieli anajizungumzia yeye mwenyewe kana kwamba alikuwa mtu mwingine.
# neno la Yahwe lika kwa nguvu kwa Ezekieli
"Yahwe alinena kwa nguvu na Ezekieli"
# Buzi
jina la kiume
# Keberi Kanali
Huu ni mto ambao watu katika Kaldea walichimba kupeleka maji kwenye bustani zao. "Mto Keberi"
# mkono wa Yahwe ulikuwa juu yake
Neno "mkono" mara nyingi limetumika kurejelea nguvu ya mtu au tendo.
# Yahwe
Hili ni jina la Mngu ambaye aliyejifunua kwa watu wake katika Agano la Kale.