sw_tn/exo/37/07.md

16 lines
564 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Kazi ya Bezaleli na kundi lake la endelea kujenga maskani na vivyombo vyake.
# Bezaleli akafanya ...
Kwa 37:7-9 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 25:15 na 25:19
# Nao wakawa makerubi wanaonyoosha mabawa yao mawili kuelekea juu, wakisitiri
Bezaleli aliweka sanamu za makerubi kana kwamba walikuwa ni wa kweli waliyo nyoosha mabawa yao na na kusitiri kiti cha rehema.
# Nyuso za makerubi hao zilielekea
Bezaleli aliweka sanamu za makerubi kana kwamba walikuwa ni wa kweli waliyo nyoosha mabawa yao na na kusitiri kiti cha rehema.