sw_tn/exo/23/01.md

20 lines
427 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumuambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli.
# taarifa ya uongo
Hii ni sawa na kudanganya au shuhuda ya uongo
# wala kutoa ushahidi
"na wewe husizungumze"
# ukiwa na umati
Hili ni fumbo linalo eleza mtu kukubaliana na kundi la watu kana kwamba alienda na kusimama na hilo kundi.
# kupotosha haki
fanya yasio halali au matendo yasio ya kijamii yenye matokeo ya uwamuzi usio haki