sw_tn/exo/11/04.md

16 lines
341 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# manane
Huu ni muda kati ya saa 6 usiku
# Wazaliwa wa kwanza ... mzaliwa wa kwanza wa Farao ... mzaliwa wa kwanza wa misichana mtumwa ... wazaliwa wa kwanza wa mifugo
"Mzaliwa wa kwanza" mara zote wa husu mzao mkubwa wa kiume.
# anaye keti kiti chake cha enzi
Hii ya husu Farao
# anaye saga mbegu
"anaye saga katika jiwe la kusagia"