sw_tn/exo/04/27.md

12 lines
263 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yahweh akamwambia Aruni
Unaweza taka kuongeza neno linalo weza kuweka alama mwanzo wa sehemu mpya wa hadithi.
# katika mlima wa Mungu
Huu waweza kuwa mlima wa Sinai, lakini ukurasa hauelezi maelezo haya.
# alimtuma yeye kusema
Neno "yeye" lamuhusu Yahweh.