sw_tn/exo/04/14.md

24 lines
643 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ata kuwa na furaha moyoni mwake
Hapa "moyo" wa husu mawazo ya ndani na hisia.
# eka maneno ya kusema modomoni mwake
Maneno hapa yanazungumzwa kama ni vitu vinavyo weza kuwekwa mdomoni mwa mtu. Hapa maneno yana maana ya ujumbe.
# nitakuwa na mdomo wako
Neno "mdomo" hapa lina wakilisha uchaguzi wa maneno ya Musa.
# mdomo wake
Neno "mdomo" hapa lina wakilisha uchaguzi wa maneno ya Aruni.
# Ata kuwa na mdomo wako
Neno "mdomo" hapa lina wakilisha marudio ya yale Aruni aliyo ambiwa na Musa.
# utakuwa kwake kama kwangu, Mungu
Neno "kama" hapa la maanisha Musa ata wakilisha mamlaka hayo kwa Aruni kama Mungu alivyo fanya kwa Musa.