sw_tn/ecc/11/01.md

24 lines
718 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Peleka mkate wako juu ya maji, kwa kuwa utaupata tena baada ya siku nyingi
Maana zinazowezekana ni 1) kuwa mtu anapaswa kuwa mkarimu na mali yake na kisha atapokea ukarimu kutoka kwa wengine (UDB), au 2) kuwa mtu anapaswa kuwekeza mali zake ng'ambo na atapata faida humo.
# Shiriki mkate na watu saba, hata wanane
Maana zinazowezekana ni 1) kugawana mali zako na watu wengi, au 2) kuwekeza mali zako sehemu nyingi.
# saba, hata wanane
"7, hata 8" au "wengi"
# majanga gani yanayo kuja juu ya nchi
Hapa msemo "juu ya nchi" inamaanisha "duniani" au "katika jamii."
# yanajivua yenyewe chini ya nchi
Hapa neno "nchi" inamaanisha "katika ardhi."
# kuelekea kusini au kuelekea kaskazini
"katika upande wowote"