sw_tn/ecc/09/11.md

16 lines
517 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# muda na bahati huwaathiri wao wote
"kinachotokea na kitakapotokea huwaathiri wote"
# huwaathiri wao wote
Hapa maneno "wao wote" inamaanisha mbio, vita, mkate, utajiri, na upendeleo.
# kama vile samaki ... kama ndege ... Kama wanyama, wanadamu
Kifo huwashika wanadamu wakati wasiotarajia, kama vile watu wanavyokamata wanyama wakati wasipotarajia.
# katika nyakati mbaya ambazo ghafla huwaangukia
Maana zinazowezekana ni 1) "katika hali mbaya ambayo inawatokea ghafla" au 2) "kwa kifo kinachowapata ghafla."