sw_tn/ecc/07/08.md

12 lines
446 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# watu wenye uvumilivu ni bora kuliko wenye majivuno rohoni
Hapo neno "rohoni" inamaanisha mwenedao wa mtu. "watu wenye subira ni bora kuliko watu wenye majivuno" au "tabia ya uvumilivu ni bora kuliko tabia ya majivuno"
# Usikasirike haraka rohoni mwako
"Usiwe mwepesi wa hasira" au "Usiwe na hasira kali"
# hasira hukaa katika mioyo ya wapumbavu
Hasira inalinganishwa na kitu kinachoishi ndani ya wapumbavu. "watu wapumbavu wamejaa hasira"