sw_tn/ecc/02/11.md

20 lines
862 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# matendo yote ambayo mikono yangu iliyokwisha kuyatimiliza
"yote niliyotimiza"
# mvuke na kujaribu kuuchunga upepo
walimu anasema kwamba vitu ambavyo watu hufanya ni kama kujaribu kuushika upepo au kuuzuia upepo kupuliza.
# upumbavu na ujinga
Maneno "upumbavu" na "ujinga" yana maana ya kufanana na zinamaanisha kufikiri kwa kijinga na matendo.
# Kwa maana ni kitu gani mfalme anayekuja baada yangu afanye ... ambacho hakijafanyika?
Mwandishi anatumia swali hili kusisitiza wazo kuwa mfalme ajaye hatawezi kufanya jambo lolote la maana zaidi la yale aliyokwisha yafanye yeye. "Kwa kuwa mfalme ajaye hawezi kufany a kitu ... ambacho tayari hakijafanyika."
# mfalme anayekuja ... baada yangu
"mfalme ... anayemridhi mfalme aliyepo." Hii huenda iliandikwa na mfalme aliyekowepo katika utawala, kwa hiyo "baada ya mfalme" inaweza kutafsiriwa "baada yangu"