sw_tn/deu/34/09.md

12 lines
438 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mwana wa Nuni
Hili ni jina la baba yake Yoshua.
# Yoshua ... alikuwa amejaa na roho ya hekima
Mwandishi anazungumza kana kwamba Yoshua alikuwa chombo na roho ilikuwa kitu halisia ambacho kinaweza kuwekwa ndani ya chombo. "Yahwe alimwezesha Yoshua .. kuwa na hekima sana"
# Musa alimwekea mkono juu yake
Maana kamili ya kauli inaweza kuwekwa wazi. "Musu aliweka mikono yake juu yake kumweka Yoshua kando ili Yoshua amtumikie Yahwe"