sw_tn/deu/33/20.md

12 lines
503 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, baraka ni shairi fupi.
# Abarikiwe yule amkuzaye Gadi
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. Maana zaweza kuwa 1) "Yahwe ambariki Gadi na kumpatia nchi kubwa kuishi ndani mwake" au 2) "Watu wanatakiwa kusema ya kwamba Yahwe ni mwema kwa sababu amempatia Gadi nchi kubwa ya kuishi"
# Ataishi pale kama simba jike, naye atanyakua mkono au kichwa
Hii ina maana watu wa Gadi wana nguvu na wako salama, na watawashinda adui zao vitani"