sw_tn/deu/32/01.md

28 lines
665 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli.
# Tega sikio, enyi mbingu ... Acha dunia isikie
Yahwe anazungumza kwa mbingu na dunia kana kwamba zinasikiliza. Maana zaweza kuwa 1) Yahwe anazungumza na wakazi wa mbinguni na duniani au 2) Yahwe anazungumza na mbingu na dunia kana kwamba ni wanadamu.
# Acha mafundisho yangu yamwagike chini kama mvua ... kama mvua tulivu juu ya majani laini
Hii ina maana Yahwe anataka watu kutaka kupokea fundisho lake lenye msaada.
# udondoke
Kujitokeza kwa umande.
# umande
maji yanajiunda juu ya majani na nyasi juu ya asubuhi baridi.
# majani laini
"mimea mipya"
# mvua tulivu
mvua nzito