sw_tn/deu/29/10.md

12 lines
498 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# miongoni mwa kambi yenu ... mbao zenu ... maji yako
Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# mgeni ambaye yumo miongoni mwa kambi yenu, kutoka kwa yule anayekata mbao zenu mpaka kwa yule atekaye
Kulikuwa na wageni wengi miongoni wa Waisraeli. "wageni ambao wamo miongoni mwenu katika kambi yenu, kutoka kwao wale wanaokata mbao na wale wanaoteka maji"