sw_tn/deu/26/18.md

20 lines
1016 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "wako" hapa ni katika umoja.
# watu ambao ni mali yake
"watu ambao ni wa kwake"
# atawaweka juu zaidi
Hii ni lahaja. "atakufanya uwe wa muhimu zaidi kuliko" au "atakufanya uwe mkubwa zaidi ya"
# atawaweka juu zaidi ya mataifa mengine aliyoyaumba nanyi mtapokea sifa, umaarufu na heshima
Maana zaweza kuwa 1) "atakusababisha uwe mkubwa kuliko taifa lingine lolote ambalo ameimarisha, naye atakuwezesha kumsifu na kumheshimu" au 2) "atakuwa na watu wakimsifu zaidi ya jinsi wanavyosifu taifa lingine ambalo alifanya; watu watasema ya kwamba wewe ni bora zaidi ya taifa lingine, nawe watakuheshimu"
# Mtakuwa watu waliowekwa kando kwa Yahwe Mungu wako
Yahwe kuchagua watu wa Israeli wawe wake ni njia maalumu ambayo inazungumziwa kana kwamba Yahwe aliwaweka kando kutoka kwa matiafa mengine. Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "Yahwe Mungu wako atakuweka kando kutoka kwa mataifa mengine"