sw_tn/deu/26/12.md

28 lines
826 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "wako" na "yako" hapa ni katika umoja.
# katika mwaka wa tatu
Hapa "tatu" ni mpangilio wa nambari ya tatu. Kila miaka mitatu watu wa Israeli walitoa moja ya kumi ya mavuno kwa maskini.
# yatima
Hawa ni watoto ambao wazazi wao wote wamefariki na hawana jamaa wa kuwatunza.
# mjane
Hii ina maana mwanamke ambaye mume wake amefariki na hana watoto wa kumtunza sasa akiwa mzee.
# kula ndani ya malango yenu ya mji na kujazilishwa
Hapa "malango" ina maana ya miji au mji. "ili kwamba wale wanaoishi ndani ya miji yenu wawe na chakula cha kutosha kwa kula"
# Nimetoa kutoka
Haya ni maneno ya kwanza ya kauli nyingine ambayo Muisraeli alitakiwa kusema.
# wala sijazisahau.
Hii ina maana ya kwamba ametii amri zote za Mungu.