sw_tn/deu/24/08.md

36 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Kuwa mwangalifu ... makini katika kuchunguza ... Kumbukeni nini Yahwe Mungu wako
Musa anazungumza na Waisraeli hapa kana kwamaba wao ni mtu mmoja, kwa hiyo neno "wako" na amri "kuwa mwangalifu" na "kumbukeni" ni katika umoja.
# Kuwa mwangalifu kuhusu kiini chochote cha ukoma
"kuwa makini iwapo utapata ukoma" au "Kuwa makini kama utakuwa na ukoma"
# kila agizo linalopewa kwako ambalo makuhani, Walawi, wanakufundisha
Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "maagizo yote ambayo nimekupatia na ambayo makuhani, ambao ni Walawi, wanakufundisha kufanya"
# wanakufundisha ... utekeleze ... ulipokuwa ukitoka
Musa hapa anazungumza na Waisraeli kama kikundi kwa hiyo maneno "ukitoka" ni katika wingi.
# kama nilivyowaamuru, ili utekeleze
"unapaswa kuhakikisha ya kwamba unafanya kama nilivyowaamuru wao"
# nilivyowaamuru
Neno la "wao" lina maana ya makuhani, ambao ni makuhani.
# Kumbukeni
Hii ni lahaja. "Kumbuka"
# ulipokuwa ukitoka Misri
"katika kipindi ambacho ulikuwa unaondoka Misri"