sw_tn/deu/19/06.md

24 lines
697 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Musa bado anazungumza na watu wa Israeli.
# mlipuko wa damu
Hapa "damu" uwakilisha mtu ambaye aliyeuwawa. "mlipuko wa damu" ni ndugu wa karibu wa mtu aliyeuwawa. Huyu ndugu anawajibika kwa kumwadhibu muuaji.
# mmoja aliyechukua maisha
Hii ni nahau. "yule aliyemwua mtu mwingine"
# kwa hasira kali
mtu aliye na hasira sana anazungumzwa kama hasira ni kitu kinachoweza kuwa moto.
# Na anampiga
"Na mlipuko wa damu huwapiga mtu aliyemwua mtu mwingine"
# ingawa mtu huyo hakuwastahili kufa, na hivyo hastahili adhabu ya kifo tangu hakumchukia jirani yake kabla ya hili kutokea
"ingawa mtu huyo hakuwastahili kufa tangu alimuuwa kwa ajali mtu mwingine na hakuwa adui wake"