sw_tn/deu/19/04.md

40 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hii sheria mpya
"Haya ni maelekezo" au "Huu ni mwelekeo"
# kwa yeyote anayemuuwa mwingine
Neno "mtu" linaeleweka. "kwa mtu ambaye anamuuwa mtu mwingine"
# na ambaye anakimbilia huko
"na ambaye hutorokea kwa moja ya miji hii" au "na ambaye akimbilia kwa moja ya miji hii"
# kuishi
"kuokoa maisha yake." Maana kamili ya maelezo haya inaweza kufanywa wazi. "ili familia ya mtu aliyekufa hamuuwi kwa kulipiza kisasi"
# yeyote anayemwua jirani yake hajui
Hapa "jiran" umaanisha mtu kwa jumla. "mtu yeyote ambaye anamwua mtu mwingine kwa ajali"
# na hakumchukia hapo awali
"lakini hakumchukia jirani yako kabla hajamuuwa." Hii inamaanisha hapakuwa na kisababishio cha yeye kumuuwa jirani yake kwa makusudi.
# kama wakati mtu huenda kwenye msitu...kukata kuni
Mwandishi hutoa hali ya kufikiri ambapo mtu amuuwa mtu mwingine kwa ajali.
# kichwa kinapiga kutoka shimoni
sehemu ya chuma ya shoka hutoka kwenye kushughulikia.
# kumpiga jirani yake ili afe
Hii inamaanisha kichwa cha shoka hugonga na kumuuwa jirani.
# kwa moja ya miji hii na kuishi
"kwa moja ya miji hii kuokoa maisha yake." Inamaanisha kwamba familia ya mtu aliyekufa yaweza kulipisa kisasi. Mtu aliyemuuwa anayeweza kukimbilia kwa moja ya miji hii, na watu wa huko watamlinda.