sw_tn/deu/16/13.md

12 lines
341 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sherehe ya vipanda
Majina mengine ya sherehe ni "Sikukuu ya mahema," Sherehe ya vibanda," na "Sikukuu ya kukusanya." Wakati wa mavuno, wakulima wanategeneza vibanda vya muda kwenye mashamba. Hii sikukuu ilifanyika baada ya mavuno ya mwisho wa mwaka.
# siku saba
"siku 7"
# ndani ya malango
Hapa neno "malango" uwakilisha miji au mji.