sw_tn/deu/16/09.md

24 lines
658 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# hesabu wiki saba
"hesabu wiki 7"
# tangu wakati unapoanza kuweka sungura kwenye nafaka zilizosimama.
Haya maneno "kuweka mundu kwenye nafaka" ni njia ya kurejea mwanzo wa muda wa kuvuna.
# mundu
ni kifaa kilicho na wembe iliyopigwa kwa kukata nyasi, nafaka, na mizabibu.
# pamoja na mchango wa sadaka ya kujitolea kutoka kwa mkono wako ambao utakupa
Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima.
# kulingana na Yahwe Mungu wako amekubariki
"kulingana na mavuno ambayo Yahwe Mungu amekupa" Hii inamaanisha kwamba watu itatokana na kiasi ambacho wanatoa juu ya kiasi gani walichovuna mwaka huo.