sw_tn/deu/15/15.md

28 lines
783 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kumbuka ulikuwa mtumwa
Hapa "u" inajumuisha babu ambao walikuwa watumwa kwa miaka mingi.
# kwamba Yahwe Mungu wenu aliwakomboa
Yahwe kuwaokoa watu wa Israeli kutoka utumwa huko Misri husemwa kama Yahwe alilipa pesa kuwaokoa watu wake kutoka utumwani.
# kama anasema kwenu, "Sitaenda mbali nanyi"
Hii ni nukuu ndani ya nukuu. Nukuu ya moja kwa moja inaweza kutajwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.
# nyumba yako
Hapa "nyumba" uwakilisha familia ya mtu.
# basi unapaswa kuchukua uma na kuifanya kupitia sikio lake kwa mlango
"basi utaweka mkono wako karibu na fremu ya mlango wa mbao kwenye nyumba yako, na kisha weka fikra za uma kupitia sikio ndani ya kuni"
# uma
kikali, kifaa chenye ncha utumiwa kufanya shimo
# milele
"mpaka mwisho wa maisha yake" au "mpaka afe"