sw_tn/deu/11/26.md

24 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Hapa Musa afanya muhtasari wa chaguzi mbili za watu wa Israeli wanaweza kuchagua. Wanaweza kuchagua kumtii na kupokea baraka za Mungu au wanaweza kuchagua kutomtii na kupokea adhabu ya Mungu.
# Tazama, naweka mbele yako leo baraka na laana.
Kuwapa watu chaguzi kama wao wanahitaji kubarikiwa au kulaaniwa huzungumzwa kwama baraka na laana ni vitu ambavyo Musa anaweka mbele yenu.
# Baraka
Kitambulisho hiki kinaweza kutajwa kama kitenzi. "Mungu atawabariki ninyi"
# laana
Kitambulisho hiki kinaweza kutajwa kama kitenzi. "Mungu atawalaani ninyi"
# Lakini jiepushe na njia ambayo ninakuagiza leo, kufuata miungu mingine
Hizi amri za Yahwe ambazo Musa anawaambia watu huzungumzwa kama ilikuwa njia au barabara ya Mungu. Kutotii amri za Mungu husemwa kama mtu hugeuka kimwili mbali na Yahwe kufuata miungu mingine.
# kufuata miungu mingine ambayo hujui
Maneno "miungu ambayo hujui" urejea kwa miungu ambayo makundi mengine uabudu. Waisraeli wanamjua Yahwe kwa sababu amejifunua mwenyewe kwao na wamepata uwezo wako.