sw_tn/deu/11/16.md

24 lines
803 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli
# Zingatia mwenyewe
"Uwe makini" au "jihadhari"
# ili kwamba moyo wako usidanganywe
Hapa "moyo" uwakilisha hamu ya mtu au mawazo. Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji.
# unageuka upande na kuabudu miungu mingine
Kumkataa Yahwe na kuabudu miungu mingine inazungumzwa kama mtu anayeweza kugeuka kimwili na kwenda mwelekeo mwingine mbali na Yahwe.
# ili kwamba hasira ya Yahwe iwashwe dhidi yenu
Mungu kuwa na hasira inazungumzwa kama ilikuwa ni moto ambao unaanza. Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. "ili kwamba Yahwe asiwe na hasira nanyi"
# ili kwamba asifunge mbingu ili kwamba hapatakuwa na mvua, na nchi haitazaa matunda
Mungu anasababisha kukosekana mvua kudondoka toka angani inazungumzwa kama alikuwa anafunga anga.