sw_tn/deu/07/16.md

20 lines
603 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.
# Mtaondoa makundi ya watu wote
"Ninakuamuru kuharibu kabisa makundi ya watu wote"
# jicho lako halitawaonea huruma
Hii ni amri. Musa azungumza kama vile jicho lionavyo lilikuwa jicho lenyewe. "Usiruhusu kile unachoona kusababisha kuwahurumia" au "usiwe na huruma kwa sababu ya kile unachofanya kinawaumiza"
# hautaabudu
"kamwe kuabudu"
# kwamba itakuwa mtego kwako
Kama watu wanaabudu miungu mingine, watakuwa kama mnyama aliyeshikwa kwenye mtengo wa mawindo, na hawataweza kutoroka.