sw_tn/deu/07/12.md

20 lines
431 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe. Anazungumza kama vile wanaisraeli wako mtu mmoja katika mstari wa 12 na kwa wote wale kama kundi katika mstari 13.
# na kuwazidisha
"na kuongeza idadi ya watu wako"
# matunda ya mwili wako
Hii ni nahau kwa ajili ya "watoto wako"
# matunda ya ardhi yako
Hii ni nahau kwa "mazao yako"
# kuzidisha kwa mifugo yako
"mifugo yako hivyo itakuwa mingi"