sw_tn/deu/02/10.md

16 lines
512 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Mwandishi anaanza kutoa taarifa za nyumba kuhusu watu wa nchi. Haya maneno siyo sehemu hotuba ya Musa kwa wanaisraeli.
# Emim aliishi...kuwaita wao Emim
Haya maneno yanatoa taarifa ya nyuma kuhusu watu wa Emim, walioishi kwenye nchi kabla ya Moabites. Lugha yako inaweza kuwa na njia maalumu ya kuweka alama ya taarifa ya nyuma.
# Emim...Rephaimu
Haya ni majina ya watu wa makundi ambayo yalijulikana kama watu wakubwa
# Anakimu
Hawa ni wazao wa Anak watu waliokuwa wakubwa na katili.